Mbunge alipokuwa wa ccm mlijinadi mpewe kura mlete maji, mmepewa jimbo mkashindwa kuleta maji mnasema tatizo ni serikali so mnyika hapaswi kulaumiwa. Kama ni hivyo muache kugombea ubunge mgombee urais mtakapopata muunde serikali yenu ya kutuletea maji.
Tafuta cku nzuri umwambie uliingia kule kwa lengo la kuzima taa na c kumfuata yeye so aache kukutega na taa pia awe anazima otherwise utamfukuzs kazi. Hapo utakuwa umeua ndege wawili kwa mpigo.
Wanawake huchukulia wanaume ni watu wa matamanio na hutamani kila mwanamke so akikataliwa anaona kama amevuliwa hadhi ya uanamke so huchukia sana.
Ucombe pia amjue girlfriend wako cz naye atamchukia vibaya sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.