Halafu tuwe na kumbukumbu.Malawi waliathiriwa na kimbunga, serikali yetu ilipeleka huko tani 90,000 za mahindi, mahema,mablanketi,gari ya wagonjwa,ambulance, karakana ya magari yanayotembea,malori na helikopta 2.
Huku tumeanza kuona viongozi wakienda kutoa pole ,sawa lakini wafanye zaidi maana...