Samahani wana jf Nina Shamba langu ddogo la ekari 2 la muhogo. Ninatamani kutengeneza unga wa muhogo ili niuuze badala ya muhogo wenyewe. Plz ninaomba Mwenye uzoefu na kazi hiyo nipo Dar.
walimu sio issue kama wanaweza kazi wapewe. Ar kazi imefanywa na walimu haohao na ilikuwa inafanyika vizuri na mkurugenzi mwenyewe aliwafanyia usaili kucheck speed zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.