Katika mambo ambayo yamenipa raha siku ya Leo ni pamoja stail ya mheshimiwa wetu aliyoitumia katika kuadhimisha mwaka mmoja Wa utawala wake kwa kukutana na wahariri na waandishi Wa habari.lakini pamoja na udhaifu Wa maswali ya hawa wanahabari, mheshimiwa kakwepa maswali matatu ya msingi...
Nyumba yenye vyumba 8 na kiwanja heka moja inauzwa ipo mafinga Iringa km 4 kutoka barabara kuu iendayo dar na km 3 kutoka kambi ya jeshi ya mafinga bei milioni 35 tu kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba 0765873325.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.