Yaani sisi waafrika tunapenda kulaumu kila kitu, utakuta mtu anakwambia kwa sababu ya dini tulizoletewa ndio maana hatuendelei kwa hiyo turudi katika dini za mababu zetu. Swali la kujiuliza je kabla ya hapo hizo dini za Mababu zetu zilifanya nini?
Hii makala nimeikuta kwenye page moja katika mtandao wa Facebook imeandikwa na mtu anayeitwa Khatibu Imran Abuu Khalil, imenivutia ndio maana na share na nyinyi hapa jukwaani.
Katika miaka ya karibuni, kumechipuka kwa kasi fikra zinazojengwa chini ya mwavuli wa Uafrika, na ukuaji wa teknolojia...
Mimi sio Mzanzibar ila nishawahi kukaa Zanzibar kwa kipindi fulani nasema hivi acha uongo, eti Zanzibar raia wengi wanapotezwa na serikali na hawana pakusemea? toka lini Zanzibar kulikuwa na masuala ya watu kuuliwa ovyo na kutekwa? Ushawahi kusikia mwanasiasa wa upinzani Zanzibar ameuliwa au...
Acheni fikra zenu za kipuuzi zakuona kila mtu aliyefanikiwa ni mwizi, Mnataka kuyafanya maisha kuwa magumu nyinyi wenyewe ishi kwa kipato chako Mungu alichokujaalia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.