Mama WEWE ni rais wetu, na unawashauri wako, ila naomba hili ulifanyie kazi mwenyewe bila kuchelewa.
Tangu uapishwe na umeona nchi ilivyo vunda. Ulichokifanya ni kuunda tu kamati. Hilo halisaidii. Unachotakiwa kufanya Watanzania ni watu wapole, nature yao ndio hiyo.
Kumbe amka ita makundi...
Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo?
Ukumbuke familia zao zipo.
Kiongozi jitahidi kuacha yako uliyonayo, bali ita vikundi mbalimbali jadili nao. Viongozi Wa siasa, dini, NK mbona watanzania wapole tu. Ila ukishupaa utaona moto Wa kiburi
Nina jiuliza kama Tan road wilaya ya UKEREWE Kama IPO AU IMEKUFA KIFO CHA KIMYAKIMYA.
Maana sioni kabisa kazi yenu hasa kipindi hiki. HII barabara ni ya kwanza Wilayani Ukerewe lakini kwa sasa hali ni mbaya mno.
Pia soma > Barabara ya Nansio hadi Kakukuru; Viongozi wilaya ya Ukerewe...
Hii barabara ndio kitovu cha biashara katika kisiwa hiki, ukiachilia mbali kuwa ndio barabara kuu Ukerewe. Viongozi wahusika wote wa Serikali mnapita huko, hivi nyie ni vipofu hadi muambiwe.
Mama kama unanisikia hamisha wote hawafai na mbunge pia ajiuzulu.
Katibu mkuu wizara ya Maji Profesa Kilila Mkumbo,amesema serikali imefuta mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira 36 na sasa zitahudumiwa na mamlaka za makao makuu ya mikoa 25, zilizoundwa na kuongezewa majukumu ya utoaji huduma katika maeneo yake
Hayo ameyasema jana jijini Dodoma wakati...
Kipindi Makamu wa Rais na baadae Waziri mkuu akija kufungua mradi wa maji hapa Nansio Ukerewe pamoja na Kata za Mukituntu, Namagondo, na Igalla alisema Idara ya maji hakikisheni maji yanatoka ili wananchi wafaidike kwani wamezungukwa na maji. Hii sentensi inakuwa inavunjika kabisa wala kutokuwa...
Leo ni siku ya maji duniani, wakati Waziri wa maji alipofika wiki iliyopita Wilayani Ukerewe maji yakatoka kwa siku 2.
Kwa sasa maji yamekuwa ni shida kubwa wilaya ambayo inazungukwa na ziwa kubwa ulimwenguni. Enyi watendaji wa maji wilayani Ukerewe mbona mnatutesa namna hiyo.
Waziri Mkuu na...
Takribani sasa miezi 4 hakuna maji ya ya bomba kwa wakaazi wa kata za Mukituntu na Igalla.
Mradi huo uliokuja kufunguliwa na Waziri mkuu akiambatana na Waziri wa maji na msafara wote hadi mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Hatimae leo imekuwa history ya kukosa maji kwa miezi minne, kisa madai ya...
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe amewaambia Wenyeviti wa vijiji wamkamate na kumuweka ndani mtu yeyote ambaye hajachangia ujenzi wa MAABARA katika shule za Secondary.
Asipotoa pesa kwa muda wa saa 6 wakamatwe mbuzi zake, kitanda au chochote alichonacho.
Sasa wewe Mkuu hayo yanafanyika wewe unakula...
Huyu mtu sielewi kabisa kazi yake, maana kila wiki lazima umeme ukatike katika wilaya hii.
Hakuna wiki hata moja iliyoachwa umeme ndani ya siku 1 au 2.
Ninavyoongea leo siku ya tatu umeme haupo. Hivi hii ndio Tanzania ya viwanda au mna fanya majaribio ya kuwa na midomo majukwaani.
"Tanzania...
Mkuu wa wilaya ukerewe unaombwa uangaze suala hili na ufuatilie mwenyewe.
Na pia likianza ufa nk....likarabatiwe maramoja.
Yaani kinachofuata likiharibika ujenzi wake hadi miaka kadhaaa.
Mfano mzuri ni hili BWASA...KAHAMA...MUHULA(MLEZI).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.