Hali ilivyo barabara ya Kibara hadi Bunda

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Hali sio nzuri, barabara shida magari ni mtafutano siku nzima.
P_20181217_083927_HDR.jpeg
 
Nasikia Kangi Lugola yuko likizo jimboni kwake hapitii huko naye akajionea hali halisi?!
 
Hiyo at least ni nzuri.

Nyakanazi-Kigoma... Dereva sharti uwe hodari kwelikweli na uendeshe kwa style ya zigzag!

Na basi zinazotumia barabara ile sharti ziwe imara kwelikweli! Adventure & Saratoga hao ndo watabe wa njia mbovu. Akina Dar Lux, sijui Dar Express hawawezi kutoboa hata wiki.

tapatalk_1541279559768.jpeg
 
Huko ni Congo au Malawi ?
Kwa mfano mtu utakwenda huko ki bara kufanya nini ?
Hata airtel sidhani kama wanakujua huko.
Anyway kama kunaishi watu basi nawapa pole
 
Back
Top Bottom