Hata mchina alikuwa hivyohivyo Sasa hivi wanamgwaya.Wanaona kiteknolojia anawakimbiza.Kumbuka hata kwenye kituo cha anga walimtenga,Sasa amejenga cha kwake peke yake.Hashirikiani na mtu.
Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa.
Asante.
Ujinga uko na wao wenyewe.Wanadanganywa kutoroka nchi kwa ahadi tamu sana,lakini wakisha watumia kwa maslahi yao huwapoteza kwani,hawawezi kukuhifadhi milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.