Mimi nipo Tayari kuiunga mkono CCM katika mpango wao wa serikali mbili ikiwa:-
Watataja changamoto zote za Muungano uliopo na jinsi ambavyo; mfumo wao wa serikaI mbili utajibu changamoto moja moja
Ukienda nairobi kuna barabara moja inaitwa 'thika road' imejengwa na inapitisha magari 10 yaani 10 lane,matano kila upande.ukienda dar inakuta wameweka unused area katikati ya barabara yenye usezo wa kuchukua magari 4 ila eneo hilo limepandwa ukoka,unapanda ukoka katikati ya barabara??? stupidness
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.