Wabongo sie Konyo Kweli, kwa nn tunapenda kuombeana vifo? kwani ukimuombea kheri utapungukiwa na nn? au tukimchukia aliyefanikiwa na sie tutapata Ahueni ya Maisha?
Brother huyo malizana nae kisela! weka mtego wa kumnasa kisha waandae vijana wampe KIFILO cha Maana! hakikisha akiwa anapata kifilo uwe na Mtu wa kuchukua picha! baada ya hapo sikilizia kwa muda wa wiki Mbili reaction yake itakuwaje, kwa kuwa ni tukio la aibu hataenda kushtaki polisi! safisha...
Wapo watu wanafanya hayo ili kumchafua Rais wetu, huyo anayedai amebakwa kwani kabakwa na Mama? au ana uthibitisho wa hospital gani kuthibitisha kubakwa kwake?
Inyeshe Mvua liwake Jua tunakwenda na Mama 2025.
Sio wote wanaojazana ktk mikutano ya CHADEMA ni wanachama au mashabiki wa CHADEMA! na sie CCM pia huwa tunahudhuria na hata wasio na vyama pia wanakuwepo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.