Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

Duh !!! Hapo ajiandae mapema na kujiajiri au kusambaza CV.

Hiyo ndo shida ya vijana kukosa Vision alipokuwa RC , DC hakuwekeza katika kujijenga vizuri kuwa full package .

Hii situation ndo ilimtokea makonda alipolitaka jimbo la Kigamboni.
Tatizo aligusa maslahi ya wengi kwa kujua au kutokujua. Hapa Bongo unaweza kumbana Dr Hayaland bila kujua kuwa unambana Mwigulu 😀😀...
 
Malumbano yao hayana Tija kwa Afya ya CCM na Serikali natamani ningekuwa katibu wa CCM wa Mkoa Arusha ili niwakutanishe faragha kumaliza Tofauti!
 
Gambo toka amdharau yule mwana Mama kusema ana adegree ya chupi ana laana sana. Huyu bwana hata sura yake imekaa kikatili kiuaji uaji kitapeli tapeli yaani gambo hata akiongea hana mvuto amekaa ka tapeli tu mwenye kupenda madaraka. Kwa ufupi gambo kisiasa keshaisha na sioni kama anapendwa hata wana Arusha hawamtaki kabisa. Gambo kama anatumia majini basi huo uchawi wake unamfanya aonekane kama kikaragosi
 
Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia .

Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.

Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .

Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.

Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.

The law no.1. never outshine the master. make sure all those above you feel superior than yourself.

The law no.22, surrender tactic.
make sure you use surrender tactic as a tool of power by transform weakness into power rather than fighting for the sake of honor blindly.

Arusha Town Mp & RC are using the same law of power no. 14 that says Pose as a friend, Work as a spy. they use this law to fight each other. You know having detailed information about your rival is a critical and essential issue in fighting for power. Because when you know your opponent’s secrets, you can predict his behavior and control him. This is what these gentleman are doing to harm each other politically speaking as the country is heading the general elections in october:pulpTRAVOLTA:

Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia .

Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo.

Jambo lolote baya au zuri alifanyalo MTU lazima litamrudia .

Na mbaya VITA yenu inagusa ugali wenu lazima mfikishane pabaya.

Ushauri kasome kitabu cha Robert Green 48 Law of power.
What goes around comes around !
Law of the Universe !!!
 
Kaumiza watu gani? Mbona hatujasikia, Bashite inajulikana nchi nzima kwamba mikono yake siyo safi.
Unafikiri alipozuia hosptali ya mama wajawazito na watoto isijengwe Arusha , kisa wafadhili waliletwa Lema.

Gambo hafai kabisa na amshukuru Magufuli kumpatia ubunge asibgetoboa 2020
 
Former RC MG kwa picha iliyopo hapa Arusha watu wanakula pesa yako tu na ubunge HUPATI, iwe ni Makonda anautaka au yeyote, wewe utausikia tu.

Kwa njia unayoanza kuitumia (kurushiana mapande as ubaya ubwera) na huyu RC wa sasa ni sawa maana inakupa hauweni ya kuponya mtima wako.

Hata mimi nakuumga mkono na tutakula pesa yako ya kupambania ubunge wako sana, japo ni kama naelewa hupati kitu, why unasema hivyo?.

Sababu 'karma is real' unachomtendea mwingine kuna wkt kinakurudia kwa njia ile ile au njia nyingine.

TUTAKUWEPO.
 
Unafikiri alipozuia hosptali ya mama wajawazito na watoto isijengwe Arusha , kisa wafadhili waliletwa Lema.

Gambo hafai kabisa na amshukuru Magufuli kumpatia ubunge asibgetoboa 2020
Haya yalikuwa maagizo ya magufuri ili upinzani usipate credit ndo maana magu akampa ubunge
Unajua hawa wateule wa Rais hawana jeuri bila kupata maagizo toka juu
 
Late RC MG kwa picha iliyopo hapa Arusha watu wanakula pesa yako tu na ubunge HUPATI, iwe ni Makonda anautaka au yeyote, wewe utausikia tu.

Kwa njia unayoanza kuitumia (kurushiana mapande as ubaya ubwera) na huyu RC wa sasa ni sawa maana inakupa hauweni ya kuponya mtima wako.

Hata mimi nakuumga mkono na tutakula pesa yako ya kupambania ubunge wako sana, japo ni kama naelewa hupati kitu, why unasema hivyo?.

Sababu 'karma is real' unachomtendea mwingine kuna wkt kinakurudia kwa njia ile ile au njia nyingine.

TUTAKUWEPO.
Late RC?!!! Ulitaka kuandika Former RC?
 
Back
Top Bottom