WAZIRI MKUU ANGALIA UFISADI HUU KNCU
Nakuandikia Waziri Mkuu Majaliwa kwa vile najua umekuwa mstari wa mbele kutetea mali za ushirika na moja wapo ni chama kikuu cha ushirika kilimanjaro kncu
Pamoja na juhudi zako zilizopelekea kurudishwa kwa mali za KNCU, leo hii wameanza tena kurudia...
Takukuru ichunguze ofisi ya afya kilimanjaro
Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa kilimanjaro wanaiomba taasisi ya takukuru mkoawa kilimanjaro kuzichunguza ofisi za ras, chama cha waandishi wa habari kilimanjaro na ofisi ya afya mkoa wa kilimanjaro kwa ubadhirifu wa fedha za semina ya...
JAMANI MUDA HUU KATIKA KITUO CHA POLISI CHA CENTRO MOSHI MJINI KUNA MWANAMKE MMOJA ANAPIGWA NA POLISI WANAWAKE NA WANAUME.
TAARIFA NI KUWA ALIKWENDA KUMUWEKEA DHAMANA MTU HALAFU AKAAMBIWA KWA VILE HAKUNA MAHAKAMA LEO NI MPAKA JUMATATU LAKINI ASKARI MMOJA AKAMWAMBOIA ATO 20,000/ ILI MTU WAKE...
Kwa kweli mkuu wa mkoa wa Mbeya ana matumizi mabaya ya fedha za serikali.
Taarifa zilizotufikia hivi sasa kutoka huko Moshi ni kuwa amewaalika waandishi wa habari ambao aliwateua wawe wakifanya kazi zake kwenda kumtembelea huko Mbeya alikohamishiwa na rais Magufuli.
Taarifa ni kuwa Makala...
hujuma kila upande, ona hii ya kilimanjaro
jana jumatatu kulikuwa na msako mkubwa sana wa walioficha sukari kilimanjaro lakini kazi hiyo ilikuwa ni ya kisanii kwa sababu zifuatazo
1) msako huo haukuwa wa dhati maana tayari polisi walishawataarifu wanaoficha sukari hiyo waifiche na ndipo kazi...
Ufisadi mkubwa umeikumba taso kanda ya kaskazini huko arusha kufuatia baadhi ya viongozi wake kudaiwa kutumia mali za taasisi hiyo ya kilimo vibaya ikiwemo kuuza sehemu ay ardhi ambayo ilitengwa na serikali kwa ajili ya kilimo darasa.
Habari kutoka ndani ya taasisi hiyo zinaeleza kuwa...
wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali hapa tanzania wameingia katika kashfa nzito ya kifisadi baada ya kudaiwa kupokea ruhswa ili kumlinda kiongozi wa upinzani bungeni freeman mbowe.
Inasemekana mbowe hivi karibuni alinusurika kukamatwa na makachero wa kimataifa huko mombasa kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.