Ufisadi mkubwa umeikumba taso kanda ya kaskazini huko arusha kufuatia baadhi ya viongozi wake kudaiwa kutumia mali za taasisi hiyo ya kilimo vibaya ikiwemo kuuza sehemu ay ardhi ambayo ilitengwa na serikali kwa ajili ya kilimo darasa.
Habari kutoka ndani ya taasisi hiyo zinaeleza kuwa tayari baadhi ya viongozi akiwemo mwenyekiti wa taso kanda ya kaskazini na katibu wake wameuza sehemu ya ardhi ya taasisi hiyo na kutuia fedha mifukoni mwao huku wanachama wakishangaa yale yanayoendelea.
Vyanzo cha habari toka ndani ya chama hicho vinaeleza kuwa mwenyekiti na katibu wa taso kanda ya kaskazini wamewauzia baadhi ya watu ardhi ya taasisi hiyo na kugeuzwa kuwa maghala ya kuhifadhia mali ambazo haziendani na dhana halisi ya taso ambayo ni kuendeleza kilimo kupitia maonyesho mbalimbali na kilimio darasa.
Cha kushangaza ni kuwa maeneo mengine yamegeuzwa kuwa magereji ya kutengenezea magari tena kwa watu binafsi jambo ambalo linazidi kutia hofu kuhusiana na uongozi wa taasisi hii ya kilimo.
Wanachama wa taasisi hii wamenza kuhoji ni kwanini matumizi halisi ya ardhi na viwanja vya taso yanaendelea huku serikali ikiangalia wakati malalamiko mengi yashawasilishwa katika ngazi mbalimbali ya kuwa hata utaratibu wa ugawaji wa ardhi au viwanja vya taso arusha hakuzingatia kanuni ikwemo kuishirikisha bodi.
Wengi wanadai kuwa yote hayo yanatokana na uongozi wa chama hicho kutokuwa na uhalali wa kuwa madarakani kwani hata mwenyekiti alieko alirithi nafasi hiyo na hadi sasa hakuna uchaguzi uliofanywa kumweka madarakani kihalali.
Tunachijuliza ni je taso taifa hawaoni yote haya ynayotokea katika ofisi zake za kanda ya kaskazini? Waziri wa kilimo chiza hajui kinachoendelea kweli? Je wakuu wa mikoa ya arusha, manyara na kilimanjaro ambao pia ni wahusika wakuu wa taso kanda ya kaskazini hajui kinachoendelea?
Ukweli ni kuwa wanajua kila kinachoendelea ila habari kutoka ndani ya tasio zinaeleza wazi kuwa rushwa ndiyo chanzo cha yote hayo. Kuna habari kuwa hata vyombo vya usalama vilivyotumwa kwenda kupeleka taarifa kuhusiana na ufisadi uliokio ndani ya taso vimefika na kuona kila kinachoendelea lakini baada ya kupewa rushwa wananymaza kimya.
Taarifa zinaeleza kuwa mwenyekiti na katibu wa taso kanda ya kaskazini hawana kazi nyingine zaidi ya ikufuja mali za taasisi hiyo kiasi cha kuzifanya mali hizo ni zao binafsi.
Tayari kuna tuhuma ya kuwa wamekuwa akiuza sehemu ya ardhi na viwanja vya taso arusha kwa watu binafsi ambao wamevigeuza kuwa maghala tena ya baadhi ya vitu ambavyo haviendani na kilimo, je hii ndiyo kilimo kwanza?
Taarifa zinasema viwanja hivyo viletolewa kwa kati ya shilingi milioni 50 hadi milioni 100 na fedha hizo kutumika kuwahonga viongozi mbalimbali kama vile wakuku wa mikoa na waziri wa kilimo na chakula bw. Chiza ili kuficha yle yanayoendelea.
Mzozo wa hivi karibuni ni ule unasema kuwa katibu wa taso kanda ya kaskazini na mwenyekiti wake walichukua shilingi milioni 60 kutoka kwa baadhi ya wale waliokodisha au kuuziwa viwanja pale arusha kwa madai kuwa walikuwa wanawapelekea wakubwa akiwemo waziri wa kilimo chiza lakini wahusika wakpata taarifa zimeishia mifukoni kwa wakubwa hao jambo ambalo limezua tafrani kubwa kwa baadhi ya wanachama ambao wanadai hajui chochote kuhusiana na michango hiyo.
Habari zinaeleza kuwa michango hii huwa inachangishwa mara kwa mara kwa madai ya kuwa inawapooza wakubwa au kwenda kufadhili maswala yanayohusiana na chama hicho wakati hakuna kinachoendelea
Kuna hanari zianeleza kuwa hata hati ya taso arusha haijulikani iliko na kwamba kuna baadhi ya vuiongozi wameitumia kukopea fedha kwa kisngizio cha kujenga kitega uchumi lakini wamezitumia wenyewe.
Inasemekana kuwa wale wote wanaofuatilai swala la taso arusha wamekuwa wakitishiwa maisha wakiwemo waandishi wa habari kiasi cha kunyamaza kimya huku mali za taifa zifujwa hivyo wengi wamtoa rai ya kuwa kama waziri ameshindwa kushughulikia swala hilo rais kikwete mwenyewe alivalie njuga ili mali ya serikali isiendelee kutumiwa vibaya.
Wanasema waizri chizahataweza kwa vile ni mzigo na ccm yenyewe imeshakiri hivyo kupitia mikutano iliyofanywa na katibu mkuu kinana pamoja na nape nnauye kila walikopita.
Baadhi ay udhaifu wa waziri chiza wanasema ni aple aliposhindwa kusimamia mali za kncu na tccco zisiuzwe lakini zikauzwa huku kukiwa na madai kuwa kncu walimpa shilingi milioni 20 kwa ajili ya matengenezo ay shule yake binafsi huko moshi.
Wanasema hafai kunedelea kuwa waziri wa serikali ya kikwete wakati ametoa agizo kwa barua yenye nembo ya serikalli mali za tccco zisiuzwe lakini zikauzwa na yeye akakaa kimya.
Lingien wanasema ni pale anaposhidnwa kutetea wazalishaji wa sukari hapa nchini kwa kuruhusu kuendelea kuingizwa sukari ya nje kisha natoa tamko kuwa serikalil haijatoa kibali. Sasa wanauliza kama haijatoa kibali inaingiaje nchini na jee viwanda vya hapa nchini vifungwe? Huyu ni mzig, ampumzishwe.
Linguine wanasema ameshindwa kusimamia mazao yaliyovunwa kwa wingi kuhifadhiwa kwa njia yoyote ile maana serikali ina kila uwezo, badala yake anawaacha wahusika kwenye wizara yake kushirikiana na walanguzi kuwadhulumu wakulima huku wakitumia fedha za serikali kusafiri nje ya nchi na huku wakiacha chakula kilichovunwa kikioza.