Recent content by mfobi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

    system ya tra kuna sehemu inaitaj masahihisho wanaitaji kukaa muda mwingi na wadau wajue namna watu wanavyooendesha biashara. huwezbukafreez akaunt ambayo mtu ndo ambayo anaendeshea biasharaa hata kama mnamdai lazima mkae chin mdraft namna. ya kulipwa maden yenu asilimia 90 biashara zinaebdeshwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    mfobi, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mambo vp mkuu fund alifungua slota kwenye toyota alteza 3s yenyeengine ya yamaha kulikua na uchafu akasafisha kwa kutumia ile spray ya kusafishia Kuja kurudishia gari sailensa yake inasomaa rpm ya 2000 . Fund kajaribu kuadjust kacheza nayo imemshinda naomba msaada Sent using Jamii Forums...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji PS3!!!

    Mkuu ushapata iyo ps3 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kuhusu ps3 yangu nikitaka kuwasha inawaka taa ya kijani papu afu inazima

    Ni model ngap phat,slim model 2000,3000 au super slim model 4000 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa Gia box

    Mzigo huo hapo maduka mengine kwa kariakoo wanauza 90000-120000 ila uhakika zaidi ni kwa toyota wenyewe oil kwa saizi ni tatizo makanjanja wanekua wengi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa Gia box

    Duka la toyota wenyewe ukipita njia ya mwendo kasi baada ya kupiga kona kutoka kituo cha fire uwelekeeo wa kwenda kariaoo utakapozikuta taa za mwanzo upande wa kushoto utaona duka kubwa limeandikwa toyota na nembo yao ndo hapohapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa Gia box

    Kama upo dar nenda pale toyota duka lao lipo karibia na kituo cha mwendo kasi karia koo msimbazi A kanunue hydraulic ya gear box namba 4 usinunue gearbox mpya kwanza baada ya hapo uje kwenye uzi huu kunishukuru 100% tatizo sio gearbox ni hydraulic unayotumia ndo tatizo (Hydraulic ipo kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Mkuu naomba ntumie uzi uliofutwa
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PLAY STATION 3 GAME.

    Pcha tafadhli
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PLAY STATION 3 GAME.

    Mkuu model ngap 2000,3000,4000,phat ntumie pcha
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania filamu ya " Bohemian Rhapsody".

    Ok pia kitu kizur. Zaid mecury alikua ni mzanzibar kazaliwa nakakua zenj na wakaz wa. Zenj wanalifaham ilona nyumba yao inafahamika kwa umaharufu kivutio cha utali
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Basi mkuu n Betri jitaid tembea na waya wa kubust kama ulivosema ukuacha Taa on Mara nying Urudia tena kutokupiga best solution n Betri mpya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Betri yako kama n dry haitumii maj n dalili Za mwanzo kufa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Vp ukiacha silence vp haijizimi
Back
Top Bottom