Asante sana kwa ushauri wenu juu ya hili, baada ya kusajili akaunti ya Payoneer na kuthibitishwa. Nilikuwa nasumbuka mara kadhaa kujaza njia ya malipo kwa sababu “ verification code ” ilikuwa haiji kwenye simu, nikawa nataka kubadili namba nyingine “ verification number ”” nikajaza namba mpya na...
Mimi pia nimejisajili nao, kuna sehemu ya National ID na Bank account nikajaza; Swift code nika Google nikajaza, na mazaga zaga mengine.
Sasa wakasema nijaze na website address, nikawaza mara mbili nikaweka link ya akaunti yangu ya Fiverr. Nasubiri Review, wakikosoa ndio kupata elimu zaidi.
Asante sana kwa ushauri wako, nimefungua akaunti ya Payoneer kwa ajili ya kuambatanisha na nimepewa siku saba za Review. Naufanyia kazi ushauri wako pia, asante sana 👏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.