Recent content by Mfilisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Pole jamaa yangu. Japo nimecheka😀, washenzi hawana huruma wanapiga Hadi rambirambi. Ndio hivyo tumeishapoteza hakuna namna. Mimi 25 Milioni imeishaenda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    We ulitakaje, watu kufunga biashara pia ni sehemu ya kuchukua tahadhari. Ulitaka uone Nini ili uamini USALAMA upo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Kwanza cheo Cha Mwenyekiti WA kata mbona sijawahi kukisikia Najua Kuna diwani WA kata na mtendaji WA kata
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Kwanza cheo Cha Mwenyekiti WA kata mbona sijawahi kukisikia Najua kwenye kata Kuna diwani na mtendaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Stress ya kamari kupoteza pesa nyingi, kwanini hupelekea wengi kupiga punyeto , kuangalia porn au kunywa pombe kama njia ya kupoteza mawazo?

    Habari Wadau Naomba Tujadili suala jambo hili kama title inavyojieleza Kwa wanaume wengi ,mtu akisimulia KUPOTEZA pesa kwa kamari au kupata stress kwa namna fulani. Mara nyingi wengi husema BAADA ya kucheza kamari na KUPOTEZA pesa huishia kuangalia video za ngono na kujichua kama NJIA ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua vocha ya 50,000 kwa bahati mbaya

    Bora umenunua muda wa matumizi kuliko unge bet ukaliwa yote Hiyo bado ni Mali Yako. Namna ya kwanza , zima data uza muda wa matumizi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani la kifedha ulilofanya ukiwa na miaka 18–25 ambalo bado unalijutia hadi leo?

    Mada uliyotoa ni nzuri isipokua umri uliachagua sio sahihi Miaka 18 - 25 wengi wanakua ama ni wanafunzi au wamemaliza sekondari au vyuo. Ni umri ambao wengi bado wanajitafuta, japo wachache wanakua wameanza ku make life Ungesema angalau Miaka 25 -40 Hapo ungepata majibu mengi bila shaka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usiuze vitu vya ndani kirahisi, ukiviuza ndio utajua thamani yake

    Mimi nimeuza vitu sababu ya kamari Vitu vya 2.5 M , niliuza kama 800K, karibu 500K nikacheza aviator Mpaka Leo nakujutia Maana nilikua na kabati la vyombo, Tv, Radio, Computer , Kitanda na godoro 5×6, jiko la gesi, na Meza vyote niliuza kwa 800,000/= tu. Dalali alifurahi sana. Yaani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

    Hiyo hasara uliyopata ni ndogo Shukuru umerudisha hata milioni na umejua wapi ulikosea Mimi mwaka HUU 2026 nimelima hekari Moja. Nilitarajia nipate gunia 14 Hadi 16 za mahindi, ila nimepata mahindi hata gunia halifiki. Mvua iliharibu mahindi, pia mbegu waliyopanda ni tofauti na niliyowaagiza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Pole sana . Bora wengine mnaojitokeza wengi walihisi Mimi nadanganya. Tupaze sauti zetu, SERIKALI ifungie HUU MCHEZO wa aviator.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Sawa nawajua watu wa makampuni ya kamari mpo kutetea kampuni zenu. Ila nilichoandika ni ukweli, na nipo kuwapigania watu wengine wasiendelee KUPOTEZA pesa zao. Kama napiga promo ya watu kuchukia aviator, unadhani nafaidika nini na hiyo promo? Na wewe unayetaka watu waipende aviator unafaidika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Tuendelee kupaza sauti ndugu. Wengi hawajui addiction ni nini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Kweli ni changamoto
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Duuh aisee
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Soma VIZURI hiyo makala, sijaandika pesa zote Tsh Milioni 25 kwa hesabu unayotaka wewe , Hapo nimekupa tu baadhi ya matukio makubwa niliyopoteza pesa nyingi kwa wakati MMOJA. Zipo pesa nilikua napoteza kwa siku Tsh 50,000 n.k hizo hata sijaandika Ndio maana nimesema zingine mpaka nimesahau...
Back
Top Bottom