Recent content by mfilingemfilinge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusoma Postgraduate ya Education

    Sio wote wanasoma wapate kazi alafu wengine wanataka kuwa na taaluma tofauti, usikalili elewa na kila mtu anamalengo yake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kusoma Postgraduate ya Education

    Hapo kazi Ipo maana mpaka sasa nasikia vyuo haviruhusu kusoma postigraduare ya ed. Kama ulisoma Bach, ya kitu Kingine sera za elimu Hapa bongo zimechange, fanya mpango ukapige masters tu .........sio kweli.......
  3. M

    JamiiForums Tanzania IFM Admission office/secretary nani kawaroga?

    polen sana vjana hiyo ndio ifm sisi watoto wa wakulima tulipata tabu sana hadi tunamaliza hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    hilo gari ni la kusafilishia fedha za EPA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Hapo kadanganya kabisa
Back
Top Bottom