Recent content by Mfikilwa1987

  1. Mfikilwa1987

    Hii Pancha nimeipenda.

    naleta dawa ya pancha,,,asee....ni...nomaaaa....
  2. Mfikilwa1987

    Mwalimu mafunzo kwa vitendo!

    mmmmmmmh.... ama kweli huyo ni bora mwalimu...ha ha ha.....
  3. Mfikilwa1987

    Utawala wa Ghadafi unaporomoka utafuata wa nani?

    siwez tabiri ni nani atafuata baada ya Ghaddaf,tuache ushabiki kwani jamani hali inatisha, juujuu tu utaona ni kawaida sana...ila sasa wakati umefika sisi kama Great thinkers tufikiri kwa kina juu ya hili```na mengineyo yanayotukabili sisi kama Wa`east Africa or Africa as whole juu ya matukio...
  4. Mfikilwa1987

    Hello!

    Kijiti kimoja hakivunji chawa,hivyo nimekuja ungana nanyi wana fj wenzangu ili tuweze weka mambo sawa,,,,ni hayo tu.
  5. Mfikilwa1987

    How to use JamiiForums effectively

    Jamani naombeni mnipe maelekezo,juu ya kutumia jf maana ni siku ya nne sasa nahangaika bila mafanikio.
Back
Top Bottom