Mwanaume kushindana na mwanamke ulieachana nae hasa kwa maneno ( mipasho ) ni kujidhalilisha mwenyewe. Mwanamke akiongea mwanaume fanya kwa vitendo maana wanawake wameumbiwa kuongea na ni wepesi kutoa ya moyoni. Lakini mwanaume mtimilifu tumeumbiwa kifua na uwezo wa kuchuja tunachotaka kusema...
Kwanza,
Ukweli ni kwamba " Endapo ulishawahi au unaendelea au unampango wa kufuja mali na fedha za umma HUTASALIMIKA kwenye hii awamu ya 5". Popote penye harufu ya ufujaji wa mali au fedha za umma lazima JPM atawasha moto.
Pili,
JPM ni #Maslahikwaumma , yeyote aliye #maslahibinafsi LAZIMA...
nimepigiwa simu kwa post ya "Custom" , katika baadhi ya vitu wanavyovihitaji siku ya interview ni pamoja na invitation letter. Sasa wadau hii invitation letter wana-email au unaipata wapi.? tusaidiane tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.