Yaani watu siku hizi wamekuwa na tabia za umbeaumbea, ushariushari, unafikiunafiki, uongouongo, uchochezichochezi, adabu hamna, yaani mpaka mnatia kinyaa, kajambo kadogo basi katashupariwa mpaka inachukiza, nahisi watu wengi sasa wamepungukiwa uwezo wa kufikiri, na nahisi wajinga ni wengi kuliko...