Recent content by Metronidazole 400mg

  1. Metronidazole 400mg

    PostGE2025 Nilipigwa risasi kwenye maandamano, nimepona, ila Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo kati ya matatizo makubwa tuliyo nayo

    Pole Sana Mkuu, UCHAWI NI NAMBA TUTOKENI KWA WINGI, TUKITOKA KWA WINGI KILA MKOA MAPEMA SANA TUNAIRUDISHA TANGANYIKA YETU MIKONONI
  2. Metronidazole 400mg

    Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea. Nili prove hilo baada ya kuona clip you tube akiwa kwenye zile ziara zake sijui mkoa gani.....mkurugenzi mmoja alikuwa amezingua sana...
  3. Metronidazole 400mg

    Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Walionunuliwa nimegundua wanaangalia upepo,, watajiunga nasi dakika za mwisho tunapo karibia kushinda
  4. Metronidazole 400mg

    Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Just to hide my id,, and ofcoz profession yangu na deal na hayo mavitu (medicine )
  5. Metronidazole 400mg

    Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF ) Namnukuu Chadema hadi mjambe cheche. Nilipo waambia watu humu kuwa genge la Rostam Azizi ni hatari ni raia feki waliokuwa na agenda ya kukamata serikali na taifa, wengi...
  6. Metronidazole 400mg

    Dark days 17/03/20

    Kabisa, ukimsoma vzr ni kama CHAWA huyu, alafu ni kama anajaribu kujenga hofu na kukatisha watu tamaa.....wazalendo wa kweli ni kina Britanicca au malcom lumumba.....wao nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
  7. Metronidazole 400mg

    Dark days 17/03/20

    Yoga unachokieleza kila mtu anakijua nina anza kuwaelewa wale wanaosema unatembelea upepo, huna jipya
  8. Metronidazole 400mg

    PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    Wana mBeep Trump ni hakika atawapigia fasta bila kuchelewa,, ohooo yule mzee Hanaga mchezo kabisa shauri yao
  9. Metronidazole 400mg

    Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

    Ndio maana mafwele aliwadharau hawa wanajeshi....ni wazi walisha wasoma kuwa hamna kitu,,,me ngoja nianze kusogea kijijini kwetu mdogo mdogo maana hii nchi si salama tena hata kidogo....hasa huku mijini tutauliwa km kuku
  10. Metronidazole 400mg

    Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

    Achaga UFALA wanaotoka huwa hawaongeagi sana wala kuchamba kama unavyofanya.....nikisema we ni mwoga kama hao hao unaowaponda nitakuwa sijakosea si ndio?
  11. Metronidazole 400mg

    Leo Oktoba 7 ni siku ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete, 'Mr. born town'

    07 October 1950 alizaliwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete
  12. Metronidazole 400mg

    Dark days 17/03/20

    Yoga nawe unaremba remba si ufunguke kwa maslahi ya wa tanzania.....naanza kuamini we ni wamchongo huna jipya
  13. Metronidazole 400mg

    Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

    Ndio,,,, inavyosemekana lakini
Back
Top Bottom