Nenda kapime tena, then muulize daktari akadirie hiyo mimba inaweza ya kuwa mda gani, ukijua ina mda gani, hesabu hizo siku kurudi nyuma kutoka siku utakayopewa majibu ina mda gani, then ukifika kwenye siku ambayo mimba unahisi ilitungwa, tizama mwanaume ulie sex nae, siku mbili nyuma au tatu
yawezekana anachofanya mkuu ni sahihi, lakini kinachosemwa kwenye gazeti ni kweli tupu...
kwa mtazaamo wa haraka, anayoyaongea mkuu, inaonesha ana NIA nzuri, lakini shida inakuja namna gani anayaendea maneno yake, na hapo ndipo anapoharibu, ukweli tumerudi nyuma tueke unafiki pembeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.