Recent content by methy

  1. methy

    JamiiForums Tanzania Waepuke wanawake masikini

    Fact
  2. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Bila kuchoka mkuu
  3. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hamnaga hicho kitu.. sababu kamati ya uhakiki nida,afya,vyeti n.k washaa ondoka rts labda uwe na maelekezo maalumu kutoka kwa watu maalumu. 1.08%
  4. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sawaa
  5. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Polisi wanaachia ndani ya mwezi huu wa saba
  6. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Achana nae huyo atakuwa ana stress.. Sometimes ukimya ni jibu.
  7. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Imefunguliwa jana... sasa wako zero week 🚶
  8. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wa mtaani, wa makambini wote walikuwa rts, na leo hii wame somewa majina unfit wametolewa na tarehe 29/6 kozi inafunguliwa rasmi. Kama hujapigiwa simu jaribu wakati mwingine zikitoka.
  9. methy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Pdf tayari hukooo
  10. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Zoezi la usaili limefungwa rasmi rts msata kwaiyo simu hazito ita tena. Wanasubir kusomewa unfit kozi ianze rasmi.
  11. methy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    polee mkuu, waliitwa wote kuanzia 4m 4 mpaka wenye elimu za juu.. pia makundi mbali mbali kama wasanii,wana michezo madereva n.k kazi za jeshi zinahitaji uwe na mtu wa kukushika mkono tena mkubwa. usiache kujaribu tena na kumtumainia muumba wako.
  12. methy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    polee mkuu, walishaa itwa muda mrefu na juzi wamemaliza usaili 834kj makutupora, kesho yake wakachukuliwa walio chaguliwa ... mafunzo rasmi yanafunguliwa wiki ijayo.
  13. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wanasomewa leo.
  14. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    leo
  15. methy

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    834kj... walio ombea mtaani
Back
Top Bottom