Recent content by methood

  1. methood

    Je manaibu waziri nao wata wajibishwa??

    Inatakiwa na wao wawajibishwe katika swala hili
  2. methood

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Nichek kwa pm
  3. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Kwani wewe ulilazimishwa kuandika chochote kwene comment yangu au unaleta shobo? Sio kupima upepo tu ata ww ukihitaji kupimwa utapimwa tu shaka ondoa tupo duniani kwa ajili ya watu kama nyie
  4. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Nishapata wateja tayari na mbwa kabaki mmoja tu
  5. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Sema wewe mkuu nikisema mie naonekana sijui! Kwanza wengi wao hawajui nini maana ya neno BULL?? Kwa taharifa yao wapo mpaka nyoka wanaoitwa BULLSNAKE, na kuna wale samaki sisi tunawaita PAPA, sasa yupo papa anaitwa BULLSHARK, sasa wao neno bull wanajua ni NG'OMBE
  6. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Aah huko tena, utauza sana mkuu maana wao wenyewe huwa wanavizia wale mbwa wanaogongwa na magari usiku ndo wakauze nyama wakati wewe unachinja mwenyewe
  7. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Jaribu kutofautisha neno bull na cow kijana, alafu jaribu kuuliza nini maana ya bull?
  8. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Bei ya mwisho ni laki5 wakuu ya kibongo
  9. methood

    Wadau Karibuni Vina Hotel Ltd!!!

    Yani labda tax ikuingize mpaka ndani ya fensi, la sivyo ukijidai mjuaji eti ushukie nje.... Utajutia kichokupeleka hapo? Wanakaba balaa watoto wa manzese
  10. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Hapa ni jumla akuna lejaleja
  11. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Hapa ni jumla akuna lejaleja km uwezi jikatae
  12. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Bola unisaidie mkuu
  13. methood

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Bei ni lk6 akiwa mdogo kabisa
  14. methood

    Natafuta mchumba.

    Ni pm fasta plz
Back
Top Bottom