Tulio kiona bungeni ni kufukuzwa kazi kwa mawaziri watatu na mmoja kujiwajibisha mwenyewe. swali je manaibu waziri hawausiki katika hili sakata la TOKOMEZA UJANGILI? Vip kuhusu IGP na mkuu wa majeshi?? Hebu tujadili kwa hoja.