Recent content by Mete

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msimamizi wa bar

    Tangazo la ajira Anahitajika msimamizi wa bar Vigezo Awe mkazi wa Dar Elimu form four n above Jinsia wanawake watapewa kipaumbele Awe na background ya sales Mkweli na mwaminifu Majukumu Kusimamia bar Manunuzi Mauzo Mahesabu Ajira nk Mshahara na marupurupu ni maelewano Kwa mawasiliano PM
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Nita ikuza kila baada ya wiki moja mpaka itakapo fikia 10 milioni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Mganga tena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Nita sajili kila kitu kwenye serekali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Naomba unitafute on messenger my name is redy Dasca ili tuongeye mengi kama auto jali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Sasa ao waminifu sindo shida kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Una uzoefu na kazi iyi wewe au
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Dah acha zako nina milioni 4 tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

    Hallo my friend I want to ask. Hivi biashara ya bar inalipa Dar es salaam? Nataka kuweka bar Dar es salaam. But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza. Sasa sijui kama inalipa vile.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Haaaaaaaaaaa Mwanamke ataki kurudi kwake amesha ombwa msamaha ataki kusemehe nili amua kumpiga chini na Mimi sitaki upumbavu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    I don’t get you
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Una sema ni changuo langu Sasa kwanini awe na mwanaume mwingine
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Nafikaga saana
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Kivipi
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Karibu
Back
Top Bottom