Recent content by metatron

  1. metatron

    JamiiForums Tanzania Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43

    Hapa Kuna kitu mkuu fafanua kidogo
  2. metatron

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Lift au spare parts za Lift???

    Karibu Sana mkuu...
  3. metatron

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kampuni

    Mkuu kampuni ambazo ziko Gpsa Kuna category kwa mfano yangu ipo Gpsa ILA category ya Elevator na escalator maintenance mkoa wa Dar es salaam, siruhusiwi kufanya kazi tofauti na niliiyoiomba, ungeweka category yako unayohitaji ingekuwa rahisi kidogo kukusaidia. Kwa maelezo zaidi +255 714 434 190
  4. metatron

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Lift au spare parts za Lift???

    METATRON LIFT CO LTD... (ELEVATOR MAINTENANCE) METATRON LIFT ni Kampuni Ya Kitanzania inayohusika na Uagizaji WA Lift toka nchini UTURUKI kwa Brand ya MERIH ASANSOR. Tunafanya Installation za LIFTS aina zote pia tunasambaza spear parts za Lift, tunatoa Huduma ya Service / maintenance ya...
  5. metatron

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Sheria haina macho ila kwa nchi za Africa Kuna Shaka unaweza kuona maamuzi ya ajabu
  6. metatron

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wauawa na kutupwa ziwa Victoria mkoani Mara

    Dah nyumbani Musoma aiseeee ila poa ngoja wafanye uchunguzi
  7. metatron

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Lift au spare parts za Lift???

  8. metatron

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Lift au spare parts za Lift???

    METATRON LIFT CO LTD... (ELEVATOR MAINTENANCE) METATRON LIFT ni Kampuni Ya Kitanzania inayohusika na Uagizaji WA Lift toka nchini UTURUKI kwa Brand ya MERIH ASANSOR. Tunafanya Installation za LIFTS aina zote pia tunasambaza spear parts za Lift, tunatoa Huduma ya Service / maintenance ya...
  9. metatron

    JamiiForums Tanzania Miliki na jenga nyumba yako na al-balwan investment company limited kwa gharama nafuu.

    Mkuu naona mko vizuri Sana hayo ndio mambo tunayataka sio mtu anaweka tangazo liko nusu nusu... Safi Sana
  10. metatron

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makampuni Tanzania inapatikana bure

    Umemaliza kutukana?? Naona hiyo haitoshi ongeza na mengine basi ambayo sijawahi kuyasikia.. Bora wewe mwelevu!!!
  11. metatron

    JamiiForums Tanzania Pajero gdi turbo inauzwa

    Kuna 5m mkuu
  12. metatron

    JamiiForums Tanzania Yamaha Scooter for sale only Tsh 2.5M

    Mkuu weka details Zake zote kama usajili wake, cc Zake na ulaji wake wa mafuta hii itakuwa Sawa Sana. Vp 1.5 unachukua???
  13. metatron

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makampuni Tanzania inapatikana bure

    makenge88@hotmail.com
  14. metatron

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makampuni Tanzania inapatikana bure

Back
Top Bottom