Pajero gdi turbo inauzwa

Pajero gdi turbo inauzwa

Wakuu habari za wakati,
Nimepata tatizo, sina cha kukwamuka zaidi ya kuuza gari yangu. Kiimfaacho mtu chake.Nimeshusha bei kutoka 8.9m mpaka 7.8m. Usisite kupiga simu, hatuwezi kushindwana biashara. Hii gari ina sifa zifuatazo
-ina turbo
-Namba D
-100,000km
-1830cc
-full AC
-mziki system nzuri
-sports rim
-nice and comfortable springs
-viti vizuri na kava bado Mpya
-haijaguswa engine
-haijarudiwa Rangi

Mwenye kuhitaji kuiona na kuitest, simu namba 0716411720View attachment 602341View attachment 602342 View attachment 602343View attachment 602344 View attachment 602346
Kuna 5m mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom