Yamaha Scooter for sale only Tsh 2.5M

Yamaha Scooter for sale only Tsh 2.5M

Joined
Sep 30, 2015
Posts
73
Reaction score
20
wadau pikipiki aina ya scooter yamaha ambayo ni automatic (it's exexutive ride) yaani ni kukanyaga mafuta tu ngoma inatembea.
Bado ipo kwenye hali nzr.
Ikiwa mpya bei yake ni mil. 4.8
Documents zipo.
Muuzaji ni mimi
Bei inazungumzika.
Call/text 0717425183

IMG_20171007_132624.jpg
 
Title umeandika bei 2.5M huku maelezo 4.8M which is which..?
 
wadau pikipiki aina ya scooter yamaha ambayo ni automatic (it's exexutive ride) yaani ni kukanyaga mafuta tu ngoma inatembea.
Bado ipo kwenye hali nzr.
Ikiwa mpya bei yake ni mil. 4.8
Documents zipo.
Muuzaji ni mimi
Bei inazungumzika.
Call/text 0717425183

View attachment 604178
Mkuu weka details Zake zote kama usajili wake, cc Zake na ulaji wake wa mafuta hii itakuwa Sawa Sana. Vp 1.5 unachukua???
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutapambana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1) Hujajua kua 4.8mil sio bei anayouzia bali kasema ni bei ya Mpya
2) Hujajua kua lile dongo la Elimu elimu kakulenga wewe

Conclusion;
Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu, Elimu,
 
Hahahaha sio vizuri hivo aisee, Vyuma vimekaza hadi jamaa haelewi!
 
hahaaa watu wameacha kuzungumzia biashara wameanzisha mada ndani ya mada ya biashara...safi sana huko ndo kukuwa kimawazo
 
Back
Top Bottom