Recent content by METALFULBRICATOR

  1. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Mkuu namna hii na wewe unajua kuandika?
  2. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Food science- Natafuta kazi

    Mkuu huoni kwamba hiyo kazi uliyofanya kwa miaka nane ndio iliyokuwezesha kupata mtaji uliokupa nafasi ya kujiajiri? Ama sivyo?
  3. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania ‪Waziri Manyanya: Mbaazi ni chakula kizuri chenye protini na watanzania wanaweza kula kwakuwa soko si zuri‬

    Cheti cha technical college ndio nini mkuu?
  4. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    w Wewe ndiye uliyekuwa padre?
  5. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Sawa Boss Sent using Jamii Forums mobile app
  6. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Kwa diploma holders ni ile ile 3.0 GPA
  7. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Yes, I am! Nenda kasome mwongozo wa mwaka huu 2017/2018 na si vinginevyo. Zingatia hilo!
  8. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Nenda kasome tena mwongozo wa mwaka huu hapa www.tcu.go.tz
  9. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Wao wanasema E sio principle pass kwa sasa.Keep in mind!
  10. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Wao wanasema E haihesabiki kama principle pass kwa sasa. Keep in mind!
  11. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita, point hizi zina maana gani?

    Sivyo Mkuu, hapa A=5,B=4,C=3,D=2,E=1,S=0.5,F=0. Sasa anaposema total of four points and above from two subjects ana maana kwamba uwe na kuanzia DD na kuendelea. Lakini anaendelea kusema pia kwamba E sio principle pass, hivyo ukiwa na EC, ijapokuwa una total of 4 points, huna sifa kwa sababu ya...
  12. METALFULBRICATOR

    JamiiForums Tanzania Mbowe amesema angekuwa na roho nyepesi na mpenda fedha angekuwa ameshahama upinzani

    Kuhusu kufikiri , naona wewe ndio hufikiri vyema! Kama mmekwisha tambua ya kwamba hizo ni mbinu zao ovu kwa nini bado mnanasa kirahisi hivyo kwenye mtego wao? Si ndio utumishi dhahiri waTUMBO huu? Jirani anakuhonga ili abomoe nyumba yako, unachukua hongo, ukishabomolewa unaanza kumlaumu ili hali...
Back
Top Bottom