kujiuzulu tu haitoshi.afilisiwe na achukuliwe hatua kali za kisheria.kama hiyo haitoshi ahukumiwe vilevile.wapo wengi waliofungwa jela kwa tuhuma za wizi wa kuku mitaani.je?leo mwizi mkubwa kama huyu watamuacha vipi?
hakuna sababu ya kusononeka kwani wanachokifanya ni kwa faida yao na yetu pia.juct imagime jambo hili la ulinzi tukiachiwa cc watanzania.je,tutaweza kweli?ulinzi wetu nchini haujafikia kuwalinda viongozi wakubwa duniani kama obama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.