Recent content by Messenger RNA

  1. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

    Bila shaka yoyote
  2. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Nina mpunga aina ya sindano kutoka Songwe

    Jitahidi, unapoweka tangazo zingatia masuala muhimu ikiwemo bei.
  3. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Kafulila ni nani,mbona kila siku uzi mpya ni yeye !

    Kwani na wewe ni yeye?
  4. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

    Hivyo, vibenki huwa vinasumbua sana usipowashitaki tuu utaendelea kulipa.
  5. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dodoma yamsimamisha wakili Kachenje kwa kutumia Akili Unde iliyopotosha kesi alizonukuu

    Hakusoma maandishi ya chini kabisa kuwa AI inafanya makosa, akaruka nayo kama ilivyo.
  6. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Chunya atoa ahadi ya kutatua Kero za Maji, Elimu na Usalama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi.

    Chunya maji ni tatizo kubwa sana hata hapo mjini bahati yao walipata Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji mwenye akili na kujituma vinginevyo ingekuwa kipengele. Maeneo mengine ya Chunya wana cha kujifunza kwake.
  7. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Heri ununue kwa Mswahili anaekupiga faida mara 3 na kujitetea pesa inabaki nchini au ununue kwa Mchina kwa bei rafiki huku akituma pesa kwao?

    Acheni wizi. Watu mnajisifu kabisa mnauza mara tatu ya bei ya kawaida halafu tuje tupigwe mje mtutukane mtaani. 😄😄 Hiyo haiwezekani sisi na mchina tu, ninyi mtakula uwizi wenu.
  8. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

    Vijana wa mbwa mwitu wanalipwa na nani na kuongozwa na nani, usalama wa ukoje kwa kiongozi wa dini kujisifu kuwa na kundi la mbwa mwitu wenye mafunzo?. Maoni yangu. Kundi hili huenda kwa sasa likaonekana zuri kwa kuwa linaonekana kuisaidia Serikali lakini baade huko mwelekeo wao ukabadilika na...
  9. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Kero, changamoto na suluhu katika sekta ya Kilimo na Mifugo

    Ndugu wadau wa Jamii Forum As-salamu alaykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Majeshi Majeshi. Kama mnavyofahamu, viongozi na wadau wengi wenye dhamana ya kufanya maamuzi hupita na kusoma maoni katika jukwaa hili. Ili kuwa na sauti ya pamoja na yenye nguvu, nimeona ni vyema kuanzisha...
  10. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania [Siri yingi] Nauza kitabu Cha Henoko Cha kiswahili (bibilia hakipo) Bei 5000

    Kama kwenye biblia hakipo wewe umekipata wapi?
  11. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Watumishi wa Serikali ni lazima wawe watiifu kwa Serikali iliyopo madarakani.
  12. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Na sisi wa mikoani tupunguze shobo na ndugu wa Dar es Salaam

    Ilikuwa zamani kwa sasa hakuna mtu wa mkoani mwenye muda huo wa kupoteza.
Back
Top Bottom