Kuna jamaa kaoa wote wawili na mpaka sasa dada mtu ana watoto 4 na mdogo mtu ana watoto 3 kwa hiyo kama unaliona lipo ndani ya uwezo wako ni kuishi na wote wawili japo umeuvunja undugu wao na kama Huna pesa usiingie huko
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh. 6,388,400 kwa mwaka.
NHIF imeainisha pia mafao yatakayotolewa kwa kila kifurushi na ukomo wa matumizi ya...
Kwanza hongera kwa uthubutu ulioamua kuufanya katika Maisha usikubali elimu ikufunike
Kama ni kazi ya ulinzi nicheki pm nikupe pa kuanzia mkuu maana nasi kipindi tunajitafuta tulipita humo
Una uhakika hakuna mkuu? Kabla hujatoa ushauri usichokijua fanya tafiti kidogo mkuu
Hapo hata kinu namba 75 kinasaga hizo tani mota hp 30 tu
Hizo za kuchina Kama anataka kulia miezi sita mingi sana acha akanunue
Ushauri wa bure baadhi ya biashara kabla hujaingia mtafute anayefanya hiyo...
Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi.
Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni nafuu sana na wale wa mikoani tunakusaidia namna gani usafirishe mashine yako
Mashine zilizopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.