Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Na ukweli utabaki kuwa ukweli daima. Wasanii wa bongo movie hawajajiunga na ccm kwa mapenzi yao. Ccm imewalipa pesa nyingi na kuwasafirisha kwenda Mbeya kwa ndege. Halafu wamefanya ubaguzi kwani wamewachagua baadhi yao. Ivyo utaona mgawanyiko itakayotokea kwenye...
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Na ukweli utabaki kuwa ukweli daima. Wasanii wa bongo movie hawajajiunga na ccm kwa mapenzi yao. Ccm imewalipa pesa nyingi na kuwasafirisha kwenda Mbeya kwa ndege. Halafu wamefanya ubaguzi kwani wamewachagua baadhi yao. Ivyo utaona mgawanyiko itakayotokea kwenye...
Utasemaje ukifika bongo utaichoma kadi ya cdm na hapo hapo unasema chama changu makini ccm. Pamoja na kuwa uko uliko sijui uko malasya ulikuwa na kadi mbili. Moja ccm moja cdm, basi uko hapo kimangumashi ndio kisa cha kuwa na kadi mbili angalau uweze kusaidiwa namna ya kurudi bongo. Subiri hiyo...
Co yeye uwezi kuwa kwenye keybord 24 seven kwani hana kazi aendi chooni, apati hata chakula huyo ndio Simiyo yaani anaweka vijana ndio wanaomwandikia ndio maana hata siku moja ujaona akiandika point. Yeye kwa vile analipwa pesa na maccm kawaajiri vijana wanatumia id yake
Hapo bado maccm wanasema Lowassa ni msafi anafaa kuwa rais achana na ilo kwani watasema ni uongo. Je na hili lililomwondoa kwenye uwaziri mkuu mpaka akawa bench hadi leo. Lowassa hafai kuongoza nchi hii kama alikwapua akiwa waziri mkuu na akiwa rais c itakuwa balaa. Kazi kwenu mccm wenye tamaa...
Sio unaongea kama mwendawazimu zingatia sheria ya wamama/wanawake uwezi kumvamia na kumwangusha chini hata kama hakuumia bila sababu ndio maana wanawake iwe wapi viwanja vya ndege au katika sehemu yeyote inayohusu kukaguliwa hairuhusiwi kukaguliwa na mwanaume. Tatizo lako wewe tangu uongwe izo...
Sioni kosa kwa Kagasheki kusifiwa kwa mazuri aliyoyafanya. Cdm wanaelewa kuwa Kagasheki sio fisadi ndio kisa cha kumuunga mkono. Kagasheki angekuwa fisadi kama maccm wengine asingetolewa kwenye uwaziri.
Wanacdm/wananchi walioenda kwenye mkutano wa cdm Je walisombwa na magari, walilazimishwa kwenda? Au walienda kwa mapenzi yao jiulize, kama ww ni mshauri mzuri Rais wako anakuwa kwenye sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar halafu ghafla bin vuu anasimama na kusema kesho Jumatatu (13/01/14) ni sikukuu...
Wakichukua nchi Tanzania itakuwa kama us. Barabara safi, maji, umeme usiokatika, kila mtanzania kuwa na haki sawa bila kujali kuwa huyu/yule anazo, elimu bure kwa wote na mengine mengi ambayo haijawai kufanywa na hii serikali ya maccm chama cha Mafisadi. Kwani wanafisadi kila kitu, wanyama...
Kwani kodi tunayolipa inafanya nn. Maccm mmebakia kuuza tembo wetu, dhahabu zetu pesa mnatia mifukoni halafu mnasema cdm watoe helikopta. Helikopta za jeshi, polisi zinafanya nn. Maccm lenu hilo nyie si ndio mnakusanya kodi angalau mzipeleke huko kwa sasa sio mbaya hamtapata hasara japo kwa...
Tatizo ni wakazi wa dar. Wakazi wa dar wao wanaona pesa ndio maendeleo ivyo kujidai kuwa wako bussy kutafuta pesa pasipo kufuatilia miundo mbinu imekaaje. Hakuna asiejua kuwa dar ndio kila uchafu kinapatikana. Maji shida, foleni ndio usiseme, takataka, magereji kukaa ovyo ovyo. Nilitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.