mxyuuuu utafiti wa kisenge huo unawaza ndoa hadi leo watu tunawaza tunatoka vipi kimaisha we unawaza eti wanaume wawajibikaji na wanawake wazuri wameoa na kuolewa nani kakudanganya wabaya wangapi wameolewa na wazuri wapo tu nyumbani unaweza kuniambia ni kwann thamani ya ndoa ilikua zamani acha...
Mbona wengine tunawajua kabisa wanapost machapi fb as if wa na kazi nzuri huko au unaweza kudhani wanafanya issue za maana kumbe wanafanya kujiuza mmmmh nakumbuka kuna dada mmoja aliuawa huko kwa kipigo na mwanaume nae alikua anajiuza mmmh
kuna mmoja nimeona amesema hayo mavazi ni kwa wahudumu tu ni hadi kwa raia wa kawada ukijua siku hiyo utadhuru ofisi za umma jipange toka home asa inahusu!!! aaaaaah wafanye mambo mengine ya msingi bana
binafsi sidhani kama serikali imeshindwa kupata nyumba kwa ajili ya huyo waziri ni uzembe tu na kuwa na kasumba ya kutojari kodi za wananchi ingekua amri yangu ni kutandika wahusika wote ...............ikija ishu ya walimu serikali haina pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.