Recent content by Mercenary2013

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    ALL THE BEST KWA VIJANA... MAKAMANDA MSOGEE MUONE GWARIDE KALI
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

    Dah Simba Leo Kaacha Kilio Mtaani Huku... All In All Mhindi Kajipigia Kibunda Leo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

    Endeleeni kupambana Mkuu... Japo Huku Kitaa Akili Za Darasani Hazina Undugu Na Akili Za Mtaani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nunua huku huku kitaa, huku kuna muda Vifaa mwanzoni vinakuwa gharama sana na utapata shida ya Upatikanaji maana uhitaji utakuwa mkubwa.... Nunua vitu uje navyo.... Hakikisha unanunua kadri ya walivyoelekeza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Kama Ni umri sana... Ila kama umri una ruhusu bado una nafasi utapata tu.... ALL THE BEST MKUU TUPAMBANE KITAA KWANZA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    900K+
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nenda full kabisa vaa jezi zao na pia nyoa mambo yasiwe mengi... Maana hakutabiriki unaweza kula TIFU kizembe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Beba tu hela kwa sasa... Hapa mwanzoni wanakaza sana msitumie ila baada ya miezi kadhaa uhakika mtaruhusiwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024

    POLE SANA KAKA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    HONGERA SANA MKUU KWA KUBAHATIKA KUPATA
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    700+ Wote Sio Wasomi Ndugu, hapo wapo level zote... Hapo kuna Form 4, Form 6, Certificate, Diploma, Degree
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Watakuwa wachache sana... Usikate Tamaa Kijana POLISI SIO MWISHO WA MAISHA.... KUNA MAISHA MAZURI SANA MBALI NA JESHI BOGI LAZIMA LIWEPO ILA WACHACHE SANA NAAMINI.... All The Best Kazi Kitaa Kwanza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    HONGERENI SANA KWA WOTE WALIOCHAGULIWA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Upo Sahihi kabisa mkuu Mashirika Ya Umma Yako Vizuri... Posho Pamoja Na Mishahara Ni kitu ambacho hata upewe kiasi gani Hauwezi kutosheka na shida haiwez kuisha itapungua tu.... Majeshini huku ni uzalendo mwingi, Muda mwingi Askari wapo kazini kupambana.... Ukiwa Majeshini lazima ukumbuke...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Zipo.... CCP Muda wote ni nginja ngija tu
Back
Top Bottom