mkuu,hatujakataa kulipa,pia elewa mada tafadhali,hiyo control number ya ada yenyewe Ina expire mwezi wa 10 mwaka huu,we unadhani kwanini hiyo control number walipeleka hadi mwezi wa 10 iwe expired?
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.