Nilikuwa naomba msaada kwa anefahamu njinsi ya kufunga cd aw dvd kwani same time unaweza ukawa umepewa cd aw dvd ukiitia kwenye computer huwa ina display moja kwa moja ila kile kilichokuwepo kwenye hiyo cd huwa huwezi kuki copy je ni njia gani huwa zinatumiwa hapo...
Wakuu naomba msaada wenu kwani mimi ninasimu aina ya samsung GT S5830.Mwanzoni ilikuwa na version 2.3.6 ila nilikuja kuizidisha version ya os (jelly bean ya 4.1.1).Na ikawa inafanya kazi kama kawaida ila nilichokuja kugundua kama ukitia headset hazifanyi kazi,na wakati mwanzo ilipokuwa na...
wakuu nimekuja tena hivi multi boot usb na yumi zote zinafanya kazi moja ama katika hiyo process unayotaka kuifanya nilazima uzifanye kwa kutumia zote mbili ?????????/
natumai hamujambo nilikuwa naomba kueleweshwa juu ya kutia windows tofauti kwenye extarnal hard drive. wakati unataka kutia windows kwenye pc yako na ukawa unataka kutia kwa kupitia extarnal yako je????????? inaweza ikakupa option yoyote ya kuchaguwa utie windows unayotaka kuitia???? mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.