Recent content by Mental Ability

  1. Mental Ability

    KWELI Chuo cha MUST kimetangaza fursa za masomo bure

    Ni kweli,ni kozi zinazofadhiliwa na ofisi ya waziri mkuu,inatolewa katika vyuo vya ufundi mbalimbali ikiwemo chuo cha MUST:-
  2. Mental Ability

    Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

    Tundu yeye msimamo wake ni kama wa huyu:-
  3. Mental Ability

    Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

    Mwamba unapicha moja ambayo hujui hata source yake,picha ya kutengeneza, mimi naleta za kutosha na source.
  4. Mental Ability

    Hamas ni miongoni mwa wanaoshangilia usitishwaji wa vita

    Kobazi wamefurahi mpaka waziri wa ulinzi wa 🇮🇱 kajiuzuru
  5. Mental Ability

    Vita ya kumaliza vita vyote umewahi sikia?

    Hakuna jukwaa lilojaa Udini kuliko majukwaa yote zaidi ya J----F---
  6. Mental Ability

    Vita ya kumaliza vita vyote umewahi sikia?

    Fuatilia watu wanaoongoza kwa lugha za matusi,kejeli kwa upande mwingine wa dini ni watu wa dini ipi?
  7. Mental Ability

    Kwanini Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikabaki?

    Na wazanzibar kamwe walikua hawataki muungano,walilazimishwa,na mpaka sasa pia hawautaki muungano,cha ajabu unakuta mtu eti anawalaumu wazanzibar.
Back
Top Bottom