Hapana aisee, inaudhi enzi za silaa hatukuua na spika oovyo kiasi hiki ndo maana hali ilikua tulivu, Hivi wazee mnasikiliza bunge kweli au ni ushabiki tu usio na msingi?
Kuna mada mpaka aibuu, ile 29 billioni ya inovation imeniuma sana, and Mhe Mnyika anajaribu kuwaelimisha kwa calmness kubwa...