Recent content by MENISON

 1. MENISON

  Uhamiaji Dar-es-Salaam mpo makini. Boresheni na mikoani

  Hao uhamiaji sina hamu nao aisee.
 2. MENISON

  Uhamiaji Dar-es-Salaam mpo makini. Boresheni na mikoani

  Nyie mnafanyaje aisee? Dahh haya maisha haya hayapo fair
 3. MENISON

  Uhamiaji Dar-es-Salaam mpo makini. Boresheni na mikoani

  Wajinga sana hao jamaaa , bila rushwa na kujuana utasota sana. Toa rushwa uoate huduma haraka ndio motto yao
 4. MENISON

  Uhamiaji Dar-es-Salaam mpo makini. Boresheni na mikoani

  Hawa uhamiaji sina hamu nao tena, hasa hapo Kurasini ni wasumbufu balaa. Yaani sio rafiki kabisa kwa raia wa kawaida. Ni taasisi mbovu sana , nilisumbuliwa sana mwaka juzi utadhani si raia. Kuna watu wameajiriwa hii nchi ila ni matatizo matupu. Niliamua kupitia njia za panya nikaenda kuchukulia...
 5. MENISON

  Tunahitaji Hospitali kubwa kuliko Muhimbili Dodoma

  Nchi zote duniani hospital kubwa kuliko zote huwa kwenye mji wenye popolation kubwa, Dodoma bado pagumu kwa madaktari bingwa wengi kuweka kambi. Jaribu kufuatilia hata nchi za africa, south africa hospital kubwa ipo Johan'esburg, DRC hospital kubwa ipo kinshasa, Uganda hospital kubwa ipo...
 6. MENISON

  Diaspora rudini nyumbani

  Wenye fikira kama hizo za kurudishana nyuma ndio wapo na pale uhamiaji, yaani mtanzania anawekewa vigezo vigumu kupata passport. Inshort wanadiscourage mtu masikini kupata passport ambayo ni halali yake, waache wakenya wazunguke sisi vijana wetu wabanane hapo hapo kitunda,kariakoo,mwenge...
 7. MENISON

  Ukishafikisha miaka 20 na kuendelea na bado unawategemea wazazi kwa asilimia 100, umekwisha

  Mwanangu wa kiume na miaka 6, akimaliza shule popota atakapoishia ntamtoa nyumbani akapambane huko akapata akili. Akikaa nyumbani hapati changamoto, nampa kahela kidogo kakuanzia. Ila wa kike kama hana muelekeo na hapati mume bora nizeekee nae nyumbani kwangu na sio nimfukuze akajiuze huko...
 8. MENISON

  Ukishafikisha miaka 20 na kuendelea na bado unawategemea wazazi kwa asilimia 100, umekwisha

  toplemon, Watatoa povu sana, ukweli siku zote unauma sana.
 9. MENISON

  Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

  Mwananchi wamethibitisha kuwa habari ni ya kweli
 10. MENISON

  Huu nao ni aina ya utapeli, unamuazima mtu pesa akiwa mstaarabu ila kurudisha anakuwa mkaidi

  Usikopeshe pesa kwa ndugu au rafiki . Ukitaka mpe tu ila usiidai, ukitaka kufanikiwa kuwa na roho ngumu na saidia kidogo inapowezekana. Kama unataka kukopesha fungua kampuni ya ukopeshaji.
 11. MENISON

  Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

  Nimetoka kupigwa muda si mrefu ka elfu 80 kangu
 12. MENISON

  Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

  Kuna dada nilidate nae miezi miine iliyopita, nililala nae maramoja tu na ilipasuka. Jana kaniambia ana mimba yangu na haitoi, nikakomaa aitoe. Akasema kuitoa ni gharama , nikamuuliza sh ngapi akasema tsh 80000. Nimetoka kutuma hata nusu saa haijafika, ni kweli hapa nimeshapigwa. Kudadaki sitaki...
Top Bottom