UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Mambo mengine yamekaa kitoto sana,yani Chelsea ni underdog kwa man cty,Chelsea ambae makombe yote uefa waliyoanzisha alishabeba ndo umfañanishe na CTY asiye na lolote huko uefa
Dondosha utabiri wako kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya(2020-2021) Kati ya Chelsea na Man city itakayopigwa terehe 29 mwezi huu wa 5 katika dimba la Attaturk Olympic stadium huko Instanbul Uturuki.

Pia Kuna wanaosema Chelsea ni underdog kwa Man city nao waje watupe sababu zao hapa.
 
Kuanzia robo kanacgukua tu man of the match,nusu kamechukua nje ndani na fainali kamebeba,na kaka muacha hoi kdb
Ngolo mutu mubaya
IMG_20210531_142038.jpeg
 
Mambo mengine yamekaa kitoto sana,yani Chelsea ni underdog kwa man cty,Chelsea ambae makombe yote uefa waliyoanzisha alishabeba ndo umfañanishe na CTY asiye na lolote huko uefa
Tupe sababu kwann Chelsea ni underdog kwa city
 
Back
Top Bottom