Recent content by MENGWE KWEDUU

  1. M

    Wazo la biashara kwa 100m

    Nunua machine maalum kwa ajili ya kutengengeza vyakula vya mifugo na ndege kama kuku bata nk , utafanya packing na kuwa na brand name maalum ya biashara yako na aina ya vyakula unavyouza ,.. hii ni biashara viable sana. ukiwa umevutiwa nayo nikuandalie BUSINESS PLAN pamoja na PROJECTION CASH...
  2. M

    Wizara ya Fedha: Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha

    Ni ndefu ,.. nimeipenda sana asa sehemu ya kuweka AKIBA
  3. M

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Wewe shida yako ni mitandao ya kijamii mpaka mda wa kuandika haya unao ur not serious guy. Nimesoma udsm na ninafanya kazi na sijapata sup hata moja ww ni mzembe pubguza starehe na mengineyo..... ungekuwa mtt wangu adhabu yako ni kulima kijijini miaka 2 ndo uaply upya chuo.... sijui umefikaje...
  4. M

    Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

    Nashauri dada zetu muwe makini coz hili jambo linaumiza lakini msipende kujiachia kwa kila mtu.. inatakiwa mfahamu ya kwamba si kila fundi mhashi ni mjenzi...waweza kuta hata kwake hamna zizi la fito.... na ninyi madume punguzeni munkari... tafuteni njia mbadala kama mazoezi nk nk...
Back
Top Bottom