Recent content by Menejaben

  1. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Namba 7: Siri Iliyofichwa Kila Kona

    Samehe 7 mara sabini
  2. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Lakini pia haina strong security
  3. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Namba 7: Siri Iliyofichwa Kila Kona

    Unachokijua ni kama tone la bahari ya usichokijua hii Dunia Ina mambo Mengi sana yaliyofichwa.
  4. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Ina security ya kutosha?
  5. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Wewe ni IT expert?
  6. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac! Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB. Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
  7. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Changamoto bar,

    Ewaaa! unakuta mmiliki ndo manager alafu ndo counter alafu ndo dj alafu ndo security😂😂😂
  8. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Changamoto bar,

    Bado nipo nipo mkuu MAISHA ndo haya hayaa!
  9. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Changamoto bar,

    Wanaoendesha bar ni DJ na counter manager sio lazima tukujue ila ikitokea changamoto tunakutafuta
  10. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Pooltable linauzwa

    weka picha kwanza alafu weka bei
  11. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Sea piano party box inauzwa

    napenda ila hizo unazotaka wewe sina
  12. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Sea piano party box inauzwa

    ndo maan a kwani umelazimishwa mkuu izo music classic za mamilioni zipo kazitafute! hii chinese product imejitahidi kwa kiwango chake interested wanakaribishwa.
  13. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Sea piano party box inauzwa

    vi fanya uamuzi kulingana na uwezo wako.
  14. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Sea piano party box inauzwa

    kama hupendi kelele haukufai ndo maana nikasema usinunue ukaweka nyumbani.
  15. Menejaben

    JamiiForums Tanzania Sea piano party box inauzwa

    sikukumbuka kudai risiti ni uzembe wangu, nilinunua 420,000 sasa kuna biashara nilitaka kufanya (pub) nimegaili ndo maana nauza
Back
Top Bottom