Jifanye we ni Dokta Ndodi...na ulikua unatoa tu Ushahuri juu ya Mwanamke anavyoweza kutunza ndoa yake.
Pagumu, duuuh....Kama ingekua ligi tungesema timu yako inashuka daraja
Kwakweli Taarifa za Mkaguzi wa Serikali zimetatiza. Kwa mwenendo huu wasio na mioyo ya subira na shukurani wasije wakageuza na kuanza kusema kuwa nanili ni shirika ambalo mkaguzi wa serikali anadai kuwa serikali ilikua na hisa zake humo alafu zikatokomea, linalo toa mikopo kwa wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.