Recent content by Mende mdudu

  1. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni makomandoo wa delta hatujawaona na mabegi na mavitu mwilini

    Wapo simple sana, hawana mwili wa mabaunsa, hawajabeba magogo, fire extinguisher, hawaja jipaka majivu, Kongole kwenu delta force
  2. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

    Watu wengi umu hawa aminiani, ndo maana ngumu kibiashara,
  3. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Huko benin sahivi wananchi wanaandamana hawamtaki rais wanataka nchi iongozwe na colonel pascal tigri Nigeria bado inaendelea kudhibiti maandamano hayo baada ya kupokea order kutoka kwa rais wa ufaransa
  4. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Anae kwambia mapinduzi yame feli anakudanganya, wamewai kufanya propaganda tu serikali ya benin "Mimi ni Kanali Pascal Tigri, rais wa Kamati ya Kijeshi ya Kuunda Upya (Military Committee for Refoundation). Nawahutubia leo kuwaomba wananchi wote wa Benin waamke na kuunga mkono operesheni hii ya...
  5. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  6. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Kweli kabsa ao teeth wangekua makini na kazi yao angetakiwa aondolewe apo, mchochezi sio maneno ya kutamka public ni threat kwa national security
  7. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

    Trh 9 bado jeshi lina nafasi ya kuzuia vifo tena. Yani mnalinda maslahi ya mmoja kwa kuruhusu vifo 10000 wat the fu**
  8. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ma Askari wa JWTZ wote wako Kambini zaidi ya Mwezi Sasa, na haijulikan lini wataruhusiwa kurudi Majumbani !!

    Una hoja usikilizwe, lili ingizwa kweny siasa bila kujijua.
  9. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kwa videos za mauaji zinavyosambaa, naiona Dec 9 itakuwa ya moto sana, serikali inayo nafasi ya kuzuia machafuko yanayokuja

    Tulishauri awali kabla ya trh 29 kama wew unavyo shauri haya, https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-haja-gani-ya-kutunishiana-misuli-wote-tunajenga-nyumba-moja-turudi-mezani-kwa-maslahi-mapana-ya-taifa.2388856/
  10. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

    Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo. 1- Watanzania wasiogope ANa watia moyo watanzania na pia...
  11. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi, "aliye engineer maandamano," akataa maridhiano

    Maridhiano yalitakiwa yafanyike kipindi hiki pitia uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-haja-gani-ya-kutunishiana-misuli-wote-tunajenga-nyumba-moja-turudi-mezani-kwa-maslahi-mapana-ya-taifa.2388856/
  12. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Machawa wa kuita press mko wapi siku hizi?

    Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
  13. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    Itawezekana endapo rais aka apa kwa katiba na sio biblia au msahafu.
Back
Top Bottom