Recent content by mende 2014

  1. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Noela: Mwanafunzi aliyeshangaza watu kwa kuandika hotuba ya Waziri Mkuu

    Hongera sana Noela Mungu yuko pamoja nawe kaza buti ili ufikie malengo yako ya baadae. Hongera sana tena sana.
  2. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

    Niliwaona hao samaki ktk group la WhatsApp
  3. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Mama aliyepigwa wakati anajifungua alipwa fidia ya dola 25,000 (Tsh 55,000,000)

    Nadhani hilo litakuwa funzo na kwa wengine
  4. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

    Lowassa alikuwa na tamaa ya uongozi.
  5. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Hongera DC wa Ilala Sofia Mjema kwa busara yako kutii na kuwaondoa FFU katika mkutano wake!!

    Usiseme kuwa watanzania ni wajinga inaonekana kuwa wewe ndiye mjinga sio watanzania. Hatutaki anayewapotosha watu kama wewe.
  6. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Hata huku Bunda - Mara pia hakuna umeme
  7. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii mishikaki itaisha?

    Kwa kweli sheria iwekwe Kali sana ya kuwabana
  8. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Biashara: Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam yafungwa kisa kushindwa kulipa kodi

    Hata hivyo wananyanyasa wafanyakazi jambo ambalo halimpendezi Mungu. Wamrudie Mungu wao. Kumbukeni kikichitokeaga NAKUMATT MOSHI hadi taarifa zilifika kwa mkuu wa Mkoa King kimanjaro enzi hizo na humu mjadala ulikuwa mkubwa sana.
  9. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Mimba inaweza kutunga siku ya 16 baada ya kumaliza hedhi?

    Inategemeana
  10. mende 2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameshafariki watoto wawili , sasa anadai ana mimba tena! Msaada!

    Tafadhali usichukue uamuzi wa haraka kiasi hicho maana hata mama mwenye mtoto nadhani anajiuliza sana kuwa ana mkosi gani. Kumbuka mtoto wa kwanza alifariki wakakati akijifungua na yule wa Pili mimba iliharibika. Fanya uchunguzi kupitia kwa madaktari ili waone kama kuna tatizo linalosababisha...
  11. mende 2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ananifikisha kileleni kuliko mpenzi wangu!

    Huna akili kuleta mada kama hii humu naona hajitambui
  12. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kutii sheria bila shuruti ni kazi sana

    Hawa wanastahili adhabu kali maana faini ya sh. 30,000 wameizoea.
  13. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kutii sheria bila shuruti ni kazi sana

    Huyu bodaboda amebeba abiria wawili halafu wote hawana helmet akikamatwa eti ameonewa. Hivi ni kwa nini hawatii sheria bila shuruti?
  14. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa IFM apigwa risasi 4 na mtu anayesadikiwa kuwa ni askari

    Angejisalimisha Mara ngapi ama hujasoma hapo vizuri.
Back
Top Bottom