Kazi ya mbunge jimboni kwake haieleweki vizuri, binafsi nadhani mbunge angewakilisha mkoa mzima. Maana watendaji wa kisiasa na serikali wapo kuanzia ngazi ya mkoa mpaka ya chini kabisa yaani mtaa au kijiji/kitongoji.
Mengineyo ni janja janja ya ulaji kupitia ubovu wa katiba iliyopo.
Huyu mbwa anadhani anamuendesha chatu, na hajui Kama haoni. Na chatu ameshamjua, na kamfungia kabisa kwa kusokota mkia wake. So hamna tumaini la uhakika kwa huyo mbwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.