Recent content by menauru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM akutwa na bunduki 11 zinazosadikiwa kutumika kwa ujangili

    Asakwe tena badala ya kukamatwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la wafanyakazi Tanzania (TUCTA) la sasa livunjwe

    Njaa mbaya, wanaogopa watatemwa sasa watakula wapi na hali yenyewe ndio hivo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

    Duh hataree
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

    Bora wafanye hivo maana kuna vitaasisi vinajipangia mishahara wakati kazi hata hakuna kazi wanayofanya ambayo ni kubwa kuzidi wengine, pia itaondoa jeuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania My Observation

    Tatizo hasa ni nn
  6. M

    JamiiForums Tanzania NECTA wapigwa chenga watumishi wagoma kuwasilisha vyeti wadai walioajiriwa na cheti cha std 7

    Duh kwa std7 itakuwa ni Wale wazee wa kustaafu lakini hawa current lazima watakuwa na vyeti sema labda wale walioghushi, aise safari hii iko kazi duh
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tu wavivu mno!

    Wanasubiri serikali iwashike mikono kwa kuwaajiri haha, mtanzania zinduka dunia ya leo imebadilika sio ya kulaza damu usubiri utafuniwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Scorpion ni mtaratibu sana, ni kiongozi wa dini

    Mtu wa dini wakati ni mtoboa macho wapi na wapi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti aswekwa ndani baada ya kuuliza swali kwenye mkutano wa RC

    Duh hiyo habari ina ukakasi lazima kutakuwa na kosa zaidi ya mkono duh
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi Kampuni ya Barcelona Lindi- Dar, imepata ajali Lindi, kumi wapoteza maisha

    Abiria nao sometimes wanakuwa waoga kupita kiasi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama UDART wameshindwa kundesha Mradi wawaachie wengine

    Ni kweli bado ni kero, unakaa kituoni karibu saa nzima hadi kero, inabidi wabadilike asee
Back
Top Bottom