Recent content by mematu

  1. M

    Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Mkuu hakuna cha uchawi hapo, walikupima wakaona kichwa chako kidogo ukawafata!
  2. M

    Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unafikiria/unamchukulia Mwenye Mungu na kama binadamu! Kama wq mwanzo wetu katka kuumbwa (Adam) na wa mwisho wetu tutamuomba kwa wakati mmoja maombi (mahitaji) ya idadi ya wingi wetu basi jua kuwa Mwenyezi Mungu atatusikia sote na akitaka atatujibu sote na hatopungukiwa na chochote ktk ufalme wake!
  3. M

    Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

    Chanika umewahi kufika Mkuu!
  4. M

    Kwenu wasindikiza misiba na wafiwa mikoani

    Kuonekana au kutoonekana kaburi na ndugu zako kunafaida au hasara gani!
  5. M

    TBT: Unakumbuka nini kuhusu mabomu ya Mbagala (2009) na Gongo la Mboto (2011)?

    Serikali iliweka Kambi kama Wajimbizi hapo Sababa kila aliyeokotwa popote au alikosa makazi alipelekwa hapo. Bint tulimpata akiwa hata hana wasi wasi, yupo kama yupo vile, ana godoro lake, blanket na upande wa kitenge. Tukambeba godoro tukamuachia ambae hana, blanket tunayo hadi leo tunaitunza...
  6. M

    TBT: Unakumbuka nini kuhusu mabomu ya Mbagala (2009) na Gongo la Mboto (2011)?

    Mm si mwandishi nzuri lkn ningetiririka vilivyo. Kwa kifupi nilikuwa naishi Goms kipindi hicho, na nilipotelewa na binti yangu wa miaka 7 akapatikana Viwanja vya Sabasaba baada ya siku 3. Namshukuru muumba alikuwa mzima kitu ambacho hatukukitegemea kabisaa!
  7. M

    TBT: Unakumbuka nini kuhusu mabomu ya Mbagala (2009) na Gongo la Mboto (2011)?

    Doh! Hiyo siku 2011, ni kama umenitonesha kidonda!
  8. M

    Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

    Ni mwanzo nzuri. Kila kitu kinakuwa na mwanzo
  9. M

    Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Wazazi ni kitu chengine hapa ulimwenguni na hakuna mbadala wake. Uliwakosea. Mzazi hapigwi. Tumia mbinu zote ikiwa ni pamoja na KUOMBA lakini wakusamehe!
Back
Top Bottom